Kua Kiroho ni programu tumishi yenye mpango endelevu wa kuwa kituo chenye hamasa katika kuleta ustawi wa kiroho. Programu ina vipengele vifuatavyo.
—Lesoni
—Nyimbo za Kikristo
—Biblia takatifu
—Usomaji wa Biblia.
—Nukuu ya Leo
—Masomo
—Tulia kwa Yesu
—Ahadi za Mungu.